To warm
Kupasha
Lesson
Somo
Masomo
Parent
Mzazi
Wazazi
Dormitory
Bweni
Mabweni
There is a possibility
Kuna uwezekano
Maybe, Perhaps
Pengine
Huenda
Labda
If
Ikiwa
Kama
I would like to eat cheese
Ningependa kula chizi
Who would you like to see?
Ungependa kuona nani?
You would like to speak with whom?
Ungependa kuongea na nani?
Pastor
Mchungazi
Wachungazi
To wash
Kuosha
To wash face, hands or feet
Kunawa
To shower
Kuoga
To clean
Kusafisha
To celebrate
Kusheherekea
Then
Halafu
Kisha
After waking up, I showered with hot water
Baada ya kuamka, nilioga maji moto
Leftover
Mabaki ya chakula
Instead of
Badala ya
To worship
Kuabudu
We finished already
Tumemaliza tayari
Tumekwisha kumaliza
Tumeshamaliza