saa moja
7:00
saa mbili
8:00
saa tatu
9:00
saa nne
10:00
saa tano
11:00
saa sita
12:00
saa saba
1:00
saa nane
2:00
saa tisa
3:00
saa kumi
4:00
saa kumi na moja
5:00
saa kumi na mbili
6:00
asubuhi
morning
mchana
afternoon
alasiri
midday
jioni
evening
usiku
night
usiku wa manane
between midnight and 3am
majogoo
between 3am and 4am
alfajiri
dawn;between 4am and 6am
saa
hour
dakika
minutes
sekunde
seconds
nusu
half