Jina
name
Jina langu ni
my name is
ni
is
Jina lako ni
your name is
Jina lake ni
His/her name is
si
not
jina langu si
my name is not
jina lako si
Your name is not
Jina lake si
His/Her name is not
lako
your
langu
my
lake
his/her
hapana
no
lakini
but
nani?
what?
ndyio
yes
sijui
i dont know
jina lako ni nani?
what’s your name
ndyio jina langu ni Mike.
yes my name is mike
jina lake ni nani?
what is his/her name?
Jina lako ni mike?
is your name mike?
Jina lake ni Tom?
Is his name Tom?
Hapana, jina lake si Tom lakini jina lake ni Bob
No his name is not tom but his name is Bob.
Jina lake ni nani?
What is his/her name?