Tafsiri kwa Kiswahili: Car
Gari
Tafsiri kwa Kiswahili: Aeroplane
Ndege
Tafsiri kwa Kiswahili: Truck
Lori
Tafsiri kwa Kiswahili: Train
Treni
Tafsiri kwa Kiswahili: Ship
Meli
Tafsiri kwa Kiswahili: Motorbike
Pikipiki
Tafsiri kwa Kiswahili: Bicycle
Baiskeli
Tafsiri kwa Kiswahili: Bus
Basi
Mwendeshaji gari, lori, basi anaitwa?
Driver
Dereva
Mwendeshaji meli anaitwa?
Captain
Nahodha
Malipo ya kusafiria?
Fare
Nauli
Karatasi maalum ya kuthibitisha umelipa nauli?
Ticket or receipt
Risiti au Tiketi
Mtu anayepakia mizigo garini?
Turn boy
Utingo
Mahali vyombo vya majini hutia na kung’oa nanga huitwa?
Harbour
Bandari
Mahali ambapo ndege hutua na kupaa huitwa?
Uwanja wa ndege