Also/too/as well (2 words)
Pia, vilevile
Always (2 words)
Daima
Sikuzote
Back/backwards:
Nyuma
Early:
mapema
Exactly/especially:
hasa
Extremely/excessively:
mno
Carefully, orderly:
taratibu
So, in this manner, thus:
hivyo
When/while/until:
wakati gani
Suddenly:
ghafla
Therefore:
kwa hiyo
Quickly
Kwa haraka
Kwa upesi
Luckily
Kwa bahati
Usually
Kwa kawaida
Briefly
Kwa kifupi:
Intentionally
Kwa kusudi
Honestly
Kwa kweli
Because
Kwa sababu
Quickly
Upesi
Unfortunately
Kwa bahati mbaya
Then
Kisha / halafu