Zero
Sifuri
20
Ishirini
30
Thelanini
50
Hamsini
80
Themanini
1000
Elfu moja
10,000
Elfu kumi
100,000
Laki moja
1,000,000
Milioni moja
1966
Elfu moja mia tisa sitini na sita
First
Kwanza
Last
Mwisho
Year
Mwaka
Month
Mwezi
Date
Tarehe
I was born in 1990
Nilizaliwa mwaka elfu moja mia tisa tisini
March 8, 2004
Tarehe nane mwezi wa tatu mwaka elfu mbili na nne