MTU mwenye shamba
A farm owner
Watu wenye msaada
Helpful people
Msaada wenye faida
Profitable help
Miti yenye matunda
Fruit bearing trees
Daraja lenye hatari
A dangerous bridge
Maneno yenye maana
Meaningful words
Kilimo chenye faida
Profitable agriculture
Vitambaa vyenye maji
Wet cloths
Lugha yenye maneno magumu
A language with difficult words
Mbegu zenye nguvu
Strong seeds
Uso wenye furaha
A happy face
Mahali penye shida
A troublesome place
Mjini kwenye maduka
In town where the shops are
Mmea/mimea
Plant
Mzizi/mizizi
Root
Tope/matope
Mud
Vumbi/mavumbi
Dust
Kiasi
C7, amount
Hakika
C9&10, certainty
Utelezi
Slipperiness
-enye
Having, with (followed by a noun)
Ikiwa
If
Ingawa
Even though
Ijapokuwa/ijapo/japo
Even though