Kufanyika
Doable, held at
Kupitika
Passable
Kuvunjika
Breakable
Kusomeka
Readable
Kutumika
Usable
Kuchafuka
To make dirty
Kufunguka
Openable
Kuvalika
Wearable
Kusikika
Audible
Kununulika
Buyable
Kuhitajika
To be needed
Kuhesabika
Countable
Kukubalika
Agreeable
Kuharibika
Damageable
Kujibika
Answerable
Kudhurika
Damageable
Kusameheka
Forgiveable
Kusahaulika
Forgettable
Kulika
Edible
Kunyweka
Drinkable
Kupatikana
Available
Kuonekana
Visible
Kuwezekana
To be possible
Kujulikana
Knowable