Do you work?
unafanya kazi
Where do you work?
unafanya kazi wapi?
What do you work as?
unafanya kazi gani?
Who do you work with? (e.g. the name of the organisation)
unafanya kazi na nani?
job
kazi
to do work
kufanya kazi
worker
mfanya kazi
in the office
ofisini
company
kampuni
to govern
kutawala
to guard
kulinda
to arrest (also to sezie)
kukamata
to analyse / pick out / choose
kuchambua
to advise
kushauri
to treat (medical)
kutibu
to farm
kulima
in/to a/the market
sokoni
in/to a/the school
shuleni
in/to a/the hospital
hospitalini
in/to a/the hotel
hotelini
in/to a/the factory
kiwandani
in/to a/the farm
shambani
in/to a/the restaurant
mgahawani
chef
mpishi